We are an eclectic and diverse group of people from Zanzibar/Tanzania, and around the world, who gather in the spirit of poetry, community, and meaningful dialogue sparked by reading & sharing poems around a specific theme each month. We try to foster a supportive, respectful, critical group of thinkers & writers who meet at the intersections of language, literature, and life.
The MANENO night was initiated by poet Amanda Leigh Lichtenstein in February 2011 with writer Jinory Mganja. The monthly event was hosted by Amanda for the last years. Now it's shifting to a rotating chair, where each month a different host will volunteer to take the lead, such as poets Thomas Green, Gerry Bukini and Marion Jerichow.
Sisi ni kundi la watu tofauti mbalimbali kutokea Zanzibar/Tanzania na kote duniani tunaokutana pamoja kwa ajili ya roho ya ushairi, jamii, na majadiliano ya maana ambayo yanaamshwa na kusoma na kuandika ushairi kuhusu mada fulani kila mwezi. Sisi tunajitahidi kuwezesha kwa heshima na umoja kundi la wasomi, waandishi, na washairi kukutana pamoja kati kati ya njia za fasihi, lugha, na maisha. Lengo kuu ni kusherekea nguvu na utamu wa maneno.
Usiku huu wa MANENO ilianzishwa na mshairi Amanda Leigh Lichtenstein wakati wa mwezi wa pili, mwaka elfu mbili na kumi na moja pamoja na mwandishi Jinory Mganja. Hilo tukio liliongozwa na Amanda kwa miaka miwili kila mwezi. Sasa, litaongozwa na viongozi mbalimbali kila mwezi kama washairi Tom Green, Gerry Bukini, na Marion Jerichow.