Welcome/Karibuni!


Welcome to MANENO (WORDS) -- a poetry gathering in Stone Town, Zanzibar, currently held every 3rd Tuesday of the month at 236 Hurumzi Hotel, in the back OBAMA Room, next door to a Novel Idea Book Shop, 7:30 p.m. -- 10:00 p.m.

Inspired by a broad theme each month selected by the group, all are welcome to bring a poem, read a poem, or just listen and discuss. You don't have to be a poet, just share a love for poetry & conversation.

All languages are welcome. We currently use English as the primarily language of discussion, but we encourage the sharing and translation of poems and ideas in any language.

This is a free event. Suggested minimum donation of 500 shillings goes towards communal drinks & snacks.

Welcome!


Karibuni sana ninyi nyote MANENO -- usiku wa ushairi katika mji mkongwe, Zanzibar, kutokea kila Jumanne ya tatu kila mwezi, kwenye Hoteli 236 Hurumzi mtaani kwa Hurumzi, saa moja na nusu mpaka saa nne wakati wa usiku. 

Kila mwezi, washiriki wa usiku huu wa ushairi wanachagulia mada fulani ya kuandikia. Wote wamekaribishwa kuleta mashairi yao ya kusomea, au kusikiliza tu, na kujadiliana mawazo. Hakuna haja kujiita "mshairi", basi njooni ikiwa unapenda maneno, mashairi, na mazungumzo. 

Lugha yote yanakaribishwa. Kwa kawaida, tunatumia lugha ya Kiingereza kwa ajili ya majadiliano, lakini tunapendelea sana kubadilishana mawazo ya lugha yoyote na pia kusaidiana na tafsiri za mashairi ya lugha mbalimbali. 

Tukio hili ni bure. Hamna kiingilio. Washiriki wanaombwa kuchanga shilingi mia tano kwa ajili ya burudisho, lakini siyo lazima. 

Wote wamekaribishwa sana!